Thursday, April 14, 2011

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Yaaap nikiwa na maswahiba zangu wa TBC1, kushoto ni NICK MARWA na katikati ni MAIMARTHA JESSE...

Nikiwa na rafiki yangu mambaye ni Kocha wa Timu ya taifa ya soka chini ya miaka 23 JAMHURI KIHWELU aka 'Julio'...

Nikiwa na mshambuliaji machachari wa timu ya SIMBA ya jijini Dar MUSA HASSAN aka 'mgosi'...

Sambamba na swahiba 'J.B' ambaye ni mcheza Filamu nguli nchini...

No comments:

Website counter