Friday, October 22, 2010

NAULIZA JE NI HALALI KWA 'MWIZI' KUPIGWA KWA KIWANGO HIKI...


Ebu jamani nipeni maoni yenu, mimi binafsi huwa naonaga huruma sana ninapokuta kibaka akipigwa kwa kiwango hiki cha kukaribia kufa ila ukiuliza kisa utaambiwa ooh alitaka kumpora yule 'dada' pale simu yake Daah! Sasa wakati huohuo najirudi kujiuliza kwamba sikuzote kuibiwa ni kubaya sana maana inatia uchungu na kukurudisha nyuma kimaendeleo na isitoshe endapo Mwizi akikuwahi wewe uso kwa uso yuko radhi akuue wewe maana anajua akikukosa basi utamuua wewe, na ndio maana naona kitendo cha kupigwa wakikamatwa ni sawa 2 ingawa ni ukiukwaji wa haki za 'Bin Adam' jamani, sasa we unakubaliana na mimi au una mawazo yako tofauti?...

Basi akishapigwa kwa kiwango hiki utamuonea huruma ila tatizo akikuwahi wewe hakuonei huruma, atakujeruhi vibaya na ikwezekana kukuua kabsaaaa daah...

4 comments:

Anonymous said...

Ni bora kupigwa kama hivyo maana hao jamaa wanamaudhi kweli na kuliko kukuwai wao basi wananchi wakiwawai ni bora iwe hivyo tu besyd that ukiwapeleka police aftr 48 hours haooooo uko nao kitaa sa si bora tu mmalizane tu lijulikane moja though ka ulivyosema Ben ukiukwaji wa haki za binadam..
Huruma lakin they deserve it..

Rabia

Anonymous said...

Kama hakomi kuiba na kusumbua watu itabidi apate kipigo cha maana.

Anonymous said...

Kwani Ben Huwa kuna viwango rasmi vya kupiga mwizi duniani?

Anonymous said...

sio halali coz sometimes watu wanasingiziwa these thingzzz

Website counter