Wednesday, October 20, 2010

NILIPOMTEMBELEA SWAHIBA BANANA ZORRO NA B' BAND YAKE...


Hapa rafiki yangu BABANA ZORRO akimwaga mistari ya kufa 'ngamia' pale Sweety Eazy Oterbay na kesho ALhamic usiku pia atakuwepo apo 'SWEET EAZY' na bendi yake ya B BAND kwa makamuzi kama kawa...

Nikipozi na swahiba BANANA katikati ya Onesho lake...

Kwa wasio jua ni kwamba BANANA sasaivi ni hodari wa kucheza Stejini baada kupata mafunzo kutoka kwangu kila nilipokuwa namtembelea mazoezini kwake na kama huamini muulize mwenyewe atakupa 'Full stori'


No comments:

Website counter