Friday, October 8, 2010

YALIYOJIRI BAADA YA KUTEMBELEA KAMBI YA TIMU YA TAIFA 'TAIFA STARZ' LEO JIONI...


Hapa nikiwa na rafiki yangu MRISHO NGASSA wa AZAM FC, na ameniahidi kwamba kesho Jumamosi Wamoroko watamkoma maana spidi itakuwa ni ileile mjomba...
Nikiwa na Swahiba wangu DAN MRWANDAanayecheza soka la Kulipwa nchini VIETNAM, nae ameahidi kucheza kwa nguvu ili na kufunga magoli ya kuisaidia TAIFA STARZ iyo kesho...

Nikipoouz na Swahiba HENRY JOSEPH anayecheza soka la kulipwa nchini NORWAY, ambaye kesho jumamosi atakamata 'Dimba' la kati la Taifa Starz ambapo kumbuka mechi ya kesho inaonyweshwa moja kwa moja na Television ya SUPER SPORTS ya africa ya kusini...

Nikiwa na kipa maarufu wa zamani wa Taifa Starz JUMA PONDAMALI aka 'MENSAH' ambaye leo wakati naongea nae alinidokeza kwamba JUMA KASEJA ndie atakae kwenye goli ya TAIFA STARZ iyo jumamosi ya Kesho badala ya SHABAN KADO kwa sababu maalum za kitaalamu! Jamani tujitokeze kwa wingi iyo kesho ntukaishangilie kwa ngumu timu yetu ya Taifa Starz...

No comments:

Website counter