SIKU FM ACADEMIA 'WAZEE WA NGWASUMA' ILIPOZINDUA ALBUM YAO YA 6 IITWAYO 'VUTA NIKUVUTE'
Nikiwa Back stage na Rais wa bendi ya Fm Academia NYOSHI EL SADAT kabla kupanda Jukwaani kufanya makamuzi kwenye uzinduzi huo Jumamosi iliyopita katika ukumbi wa Diamond...
Sehemu ya umati mkubwa wa watu uliohudhuria Uzinduzi huo...
1 comment:
Nice blog Ben! Keep it up!
Post a Comment