Wednesday, September 15, 2010


Rapa mahiri wa FM ACADEMIA aitwae Seven akiongoza makamuzi...

Rais wa Bendi iyo akionesha mfano kwa show kali stejini...

Mademu nao walifanya kile kilichotarajiwakwa kumwaga 'UNO' la kufa m2...

Katika kujiimarisha, FM ACADEMIA imemnyakuwa mwimbaji huyu wa kizazi wa Bongo Flava HAFSA KAZINJA, katikati.

HAFSA akiimba wimbo wake 'PRESHA' uliowavutia wengi siku iyo....

No comments:

Website counter