Wednesday, September 15, 2010

Nikiweka shada la mauwa kwenye kaburi la mshkaji wangu P'DIDDY kwenye mazishi yake juzi...

Nikishuhudia Zege likifunika kaburi la P'DIDDY na kuhitimisha siku za maisha yake apa Duniani aaagh...

Mafundi ujenzi wakimalizia kazi yao...

Kaburi lake likionekana muda mfupi kabla hatujaliteremsha Jeneza lake ndani tayari kwa mazishi...

Daah ndio ivyo tena mshkaji ametutoka na daima tutamkumbuka...

4 comments:

Anonymous said...

mungu amuweka mahali pema peponi amini

Anonymous said...

beni tuwekee picha zaidi za warembo manake niliona walikuwa full ma lipstick weka mapicha basi!

Anonymous said...

beni tuwekee picha zaidi za warembo manake niliona walikuwa full ma lipstick weka mapicha basi!

Anonymous said...

beni mbona huo mkanda wa p didd haufunguki, tuwekee picha tuone msiba wa ndugu yetu kipenzi jamani sisi hatukuweza kuudhulia tuko mbali

Website counter