Waungwana kesho juma3 makamuzi yanaanza upya kwa kuweka picha ya mazishi ya Mshkaji nwangu PERFECT KAGISA P'DIDDY na habari zingine zilizojiri Duniani na kwa yule mdau aliyeuliza kuhusu Marehemu P' diddy ni kweli amesoma Kinondoni na anajulikana kama 'Paff'.
2 comments:
weka basi picha tuone jamaniiiiiiiii..!!
kearsleys travel team
poleni sana alipata ajali au nini maana gafla sana hata siamini tunasubiri picha maana wengine tumechelewa mazishini bado siamini mpe pole na Maimartha mwambie mungu atazidi kumtia nguvu,amuamini tu.Mdau wa Blog yako
Post a Comment