Ama kweli waliosema Siasa mchezo mchafu hawakukosea! Mchungaji maarufu nchini Bw ZAKARIA KAKOBE nae ameingia kwenye mkumbo wa kumpigia 'm2' Debe baada ya juzi Jumapili kuwambia Waumini wake kwamba wanapaswa kumchagua m2 bila kuangalia maisha yake ya ndani ya ndoa maana hata Rais ZUMA alipata kashfa ya kuoa wake wengi pamoja na kubaka lakini wananchi wa Africa Kusini wakamkabidhi nchi bila kujali chochote daah! Na kama haitoshi akaongeza kwamba wasiotaka mabadiliko basi ni wachawi na kwamba kama ni uzoefu ikulu haoina uziefu ndio maana hata AMERICA ina Rais mweusi wa kwanza ambaye hakutokea Ikulu bali wamemjabidhi nchi na anaendelea vizuri mpaka sasa, au Mandela alipata wapi uzoefu? Yaani ni kazi kweeli kwelii loooh...
No comments:
Post a Comment