Tuesday, September 28, 2010

JE WAMJUA HUYU DOGO.....

Kwa wale wasiojua, huyu ndie bwana MARK ZUCKERBERG mwenye umri wa miaka 32 ambaye ndie Mgunduzi na Mmiliki wa mtandao maarufu Duniani wa FACEBOOK! Ni Bilionea mdogo zaidi Duniani kwasasa na Babake anasema alipokuwa mdogo alipenda sana kushinda kwenye Internet kuchat kwenye mitandao kibao ndipo akaona kwanini kilasiku nichat kwenye mitandao ya watu, nataka kujaribu kuunda mtandao wangu ila watu wengine nao wachat kwenye mtandao wangu, ndipo alipounda FACEBOOK, mtandao hatari kuanzia kuunganisha marafiki mpaka kuvunja pia Uchumba na Ndoa za watu Duniani Daaah...

No comments:

Website counter