www.kinyaiyas.blogspot.com:
Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Friday, September 24, 2010
Mambo vipi wadau wa KINYAIYAS BLOG, nilikuwa safari tangu juzi kuamkia jana ndio maana mmeona kimya kwa siku mbili nzima sijaweka mzigo wowote hewani ila leo badae ntawawekea vitu vya nguvu mpaka mtafurahi wenyewe, vuteni muda! BEN.
1 comment:
Shukrani Ben
Post a Comment