Tuesday, September 21, 2010

AAAGH PICHA HII INANIKUMBUSHA MBALI SAANAAAA


Hii ni picha ya miaka kama 6 iliyopita ambayo tulipiga watangazaji watupu wa East Africa Television, EATV enzi hizo ikiitwa CHANNEL 5! Kutoka kushoto ni mimi mwenyewe BEN, ADRIAN, MUSA HUSEIN, JOSH MURUNGA, SEKI, MAIMARTHA NA DAN KIJO! Kwakweli hii picha inanikumbusha mbaaliii saanaaaa na sijui kama wote waliokuwepo kwenye hii picha tutaweza kukutana tena pamoja kama tulivyo pichani maana wote tumeihama Television hiyo kasoro uyo MUSA USWAZI ndie aliyebaki mpaka sasa! Jamani nawamic sana wenzangu ingawa MAIMARTHA na SEKI niko nao Television ya Taifa TBC1, Je wewe unakumbuka chochote kwa hao watu unaowaona kwenye picha iyo apo juu?....

4 comments:

Anonymous said...

Good photo!
umesema enzi hizo ikiitwa CHANNEL 5! kwani sasa inaitwaje? ni hilo tu.

Anonymous said...

nashangaa kwani asa ivi inaitwaje?tunangoja jibu

Anonymous said...

inaitwa EATV(east africa tv)

Ima (The Designer) said...

Jamani kuweni wapole yy kauliza mnakumbuka nn na sio nimeandika nn. Nice photo bra

Website counter