Tuesday, September 21, 2010

MISS TANZANIA 2010....

Huyu ndie Miss Tanzania wetu 2010 GENEVIVE EMANUEL! Mmmh nawauliza nyie wadau, je mnavyomuona mrembo huyu anaweza kututoa Kimasomaso kwenye Shindano la Dunia kule CHINA mwaka huu jamani....

No comments:

Website counter