Mwenyekiti wa CHADEMA Mh FREEMAN MBOWE akipokea hundi kutoka kwa mfanyabiashara maarufu nchini MUSTAPHA SABODO ambaye jana ameichangia CHADEMA sh Mil 100 ili ziwasaidie kwenye kampeni za uchaguzi ujao! Sasa najiuliza mbona wafanyabiashara wengine hawajitokezagi kama huyu kuvisaidia vyama vya Upinzani nchini? Maana tunawaona kina SHABIBY wakitoa mabasi yao kupeleka wanachama wa CCM kule Dodoma kwenye mikutano yao, sasa uku upande wa pili vipi mbona hamji? Au mnaogopa 'LINE' zenu kukatwaa haaa haaa ahaaaaaa....
www.kinyaiyas.blogspot.com: Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Tuesday, July 13, 2010
SABODO AKICHANGIA CHADEMA...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh FREEMAN MBOWE akipokea hundi kutoka kwa mfanyabiashara maarufu nchini MUSTAPHA SABODO ambaye jana ameichangia CHADEMA sh Mil 100 ili ziwasaidie kwenye kampeni za uchaguzi ujao! Sasa najiuliza mbona wafanyabiashara wengine hawajitokezagi kama huyu kuvisaidia vyama vya Upinzani nchini? Maana tunawaona kina SHABIBY wakitoa mabasi yao kupeleka wanachama wa CCM kule Dodoma kwenye mikutano yao, sasa uku upande wa pili vipi mbona hamji? Au mnaogopa 'LINE' zenu kukatwaa haaa haaa ahaaaaaa....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment