Saturday, July 3, 2010

RIHANNA NA KIDUME CHAKE KIPYA HADHARANI...


Mwimbaji maarufu MAREKANI RIHANNA akikata kitaa na Boy friend wake mpya aitwae MATTY, ambaye yeye anasema kwamba anamzimia sana mchizi na amemsahaulisha na vipondo vya yule bwamdogo Chriss Brown...

No comments:

Website counter