HAYAA HAYAAA VISIWANI...
Hayaa hayaaa Zenj kumekucha sasa na hao mafahari wawili wanaopewa nafasi kubwa kuibuka kidedea kukamata tiketi ya CCM kwa ajili ya kupambana na MAALIM SEIF kuwania Urais wa ZENJ mwaka huu, kushoto DK SHEIN na kulia DK BILAL, kazi kwenu visiwani...
No comments:
Post a Comment