Mwenyekiti wa Club ya SIMBA bwana ISMAIL ADEN RAGE nae ametangaza kugombea U bunge wa TABORA MJINI kwa tiketi ya CCM imefahamika! Je Rage ukifanikiwa kuukwaa Ubunge utawezaje kuitumikia kikamilifu timu kubwa kama SIMBA jamani? Daa yaani sikuizi kila m2 mwenye kajina kidogo 2 nae anagombea kama si Ubunge basi Udiwani duuh....
No comments:
Post a Comment