Baada ya Dunia kufurai baada ya kusikia fununu za kupatika kwa KINGA ya ugonjwa wa UKIMWI, imefahamika tena kugundulika kwa Mafuta yenye dawa ambayo wanawake wanapaka kabla na baada ya 'GAME' na kupunguza uwezekano wa kupata ugonjwa huo kwani mchubuko unaosababishwa na vijidudu vya HSV-2 unakuwa sio rahisi kupatikana! Sasa mie najiuliza mpaka izo dawa za kinga zifike Bongo ni baada ya miaka mingapi? maana uko marekani wenyewe hawajaanza kuzipata itakuwa sisi uku wa dunia ya 3 looh...
1 comment:
Dawa mpka ifike wote wenye virus wameisha.
Post a Comment