Saturday, July 24, 2010

PESA YA MTANI WA ' JADI' INAVYOSOMEKA SASAIVI...


Eeeh mungu tuepushilie mbali ili 'madafu' yetu ya kibongo yasifikie thamani hii ya mtani wa 'Jadi' Papaa MUGABE loooh, maana utatufanya twende Twende BAR na TOROLI kununua bia 3 tu na Viroba 2 jamani duuh...

1 comment:

Anonymous said...

kweli maana duuu!! hiyo ni soo

Website counter