Wakili maarufu nchini bwana MABERE NYAUCHO MARANDO nae amekihama rasmi chama chake cha NCCR MAGEUZI na kujiunga rasmi na CHADEMA jana! Sasa sijui ana nina gani kuhamia Chadema muda huu wa uchaguzi ila 'soon' usishangae nae ukaskia kachukua fomu za kugombea ubunge sehemu maana sie wabongo huwa hatufanyagi 'kitu' bila sababu bwana, wee subiri utasikia 2...
No comments:
Post a Comment