Thursday, July 15, 2010

HATIMAYE BRAD PITT AKUBALI YAISHE...

Baada ya kilio cha muda mrefu cha mkewe ANGELINA JOLIE kwamba hafurahishwi na Style na mumewe ya kuwa na ndevu nyingi pamoja na 'masharafa' kama ya mzee aliyeenda age, muigizaji nguli wa Movie Duniani kutoka Marekani BRAD PITT ameamua kumsikiliza Laaziz wake kwa kuzinyoa ndevu izo kudadekii...

Aaah mchec sasa mchizi alivyourudia UHANDSOME wake wa haja, No ndefu, No masharafa!

No comments:

Website counter