Wednesday, July 7, 2010

LEO KATIKA HISTORIA...

Huyu ndie MANUTE BOLI ambaye inasemekana ndie mcheza BASKETBALL mrefu kuliko wote kuwahi kutokea kwenye ligi ya NBA akiwa na urefu wa futi 7.7. Jamaa alikuwa na asili ya SUDAN na kwenye ligi ya NBA alishawahi kuzichezea timu za WASHINGTON BULLET na MIAMI HEART kuanzia mwaka 1985 na alistaafu kucheza mwaka1994, na alifariki june 18 2010.

1 comment:

Anonymous said...

Ben jamani ili sasa ni jini

Website counter