www.kinyaiyas.blogspot.com:
Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Wednesday, July 7, 2010
AMA KWELI STYLE ZA MJINI ZINA WENYEWE...
Huyu ni Miss Ilala mwaka jana aitwae Slyvia Shalli, alivyovaa alipendeza ila tatizo hali ya hewa ya Dar ninavyoijua na hayo MABUTI duuh...
1 comment:
Anonymous
said...
Kwa kweli Tanzania tunatakiwa kujifunza mambo ya mitindo hii mambo ya kuiga kwa vile ulaya au marekani wanavaa na sisi tutavaa hii si sawa kabisa tunajiabisha sana na kuonekana ni wajinga sana tokea lini bongo kunabaridi ya kuvaa buti ya juu ya magoti au mapaja.Dada zangu tuwe makini sana na mambo ya kuiga.

Post a Comment