www.kinyaiyas.blogspot.com:
Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Wednesday, July 28, 2010
KATUNI YETU YA LEO...
Inasemekana kila bwana KARAMAGI akihutubia kuomba kura kwenye uchaguzi huu wa wabunge watu wanamuuliza kuhusu BUZWAGI na RICHMOND looh amakweli sasaivi angalau wananchi wanajua 'Kuuliza ishu' muhimu haaa ahaaa ahaaaa...
No comments:
Post a Comment