JAMANI KAZI YA ULINZI NI WITO...
Sasa ukilala kibwege namna hii alafu watu wakaja kukukaba na kukuua utamlaumu nani mjombaa? maana angalau m2 ukiwa macho unaliona shambulio kama linakuja, na ndio maana mara nyingi walinzi wengi wanaosinzia ndio huwa wanauwawa kirahisi zaidi, au mnasemaje wadau...
No comments:
Post a Comment