Hatua ya club ya SIMBA ya kumchukulia hatua za kinidhamu kocha wake mkuu mzambia PATRICK PHIRI naiunga mkono kwa asilimia 200 maana kocha huyo kwakweli amezidi utoro na kudharau mkataba wake! Nimefruatilia sana rekodi zake uyu kocha, yaani huyu bwana kwa visingizio vya kwenda kwao 2 hajambo na ole wako umpe ruhusa ya kwenda labada kwa wiki 2 basi yeye atafanya miezi 2, sasa wanini kocha wa namna hiyo? Mie naona wamfukuze kabsaa ili kulinda nidhamu maana kutatokea mchezaji nae atachelewa kuja kambini na ikitokea mkamuadhibu ataawambia mbona 'Phiri hamkumuadhibu? utamjibu nini wakati ni kweli...
www.kinyaiyas.blogspot.com: Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Tuesday, July 27, 2010
HEKO SIMBA KUMWADHIBU PHIRI KWA TABIA YA 'UTORO'...
Hatua ya club ya SIMBA ya kumchukulia hatua za kinidhamu kocha wake mkuu mzambia PATRICK PHIRI naiunga mkono kwa asilimia 200 maana kocha huyo kwakweli amezidi utoro na kudharau mkataba wake! Nimefruatilia sana rekodi zake uyu kocha, yaani huyu bwana kwa visingizio vya kwenda kwao 2 hajambo na ole wako umpe ruhusa ya kwenda labada kwa wiki 2 basi yeye atafanya miezi 2, sasa wanini kocha wa namna hiyo? Mie naona wamfukuze kabsaa ili kulinda nidhamu maana kutatokea mchezaji nae atachelewa kuja kambini na ikitokea mkamuadhibu ataawambia mbona 'Phiri hamkumuadhibu? utamjibu nini wakati ni kweli...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment