Tuesday, July 27, 2010

AMA KWELI UKIWA NA 'SHIDA' WAWEZA FANYA CHOCHOTE LOOH...


Waziri wa maliasili na utalii nchini Mh SHAMSA MWANGUNGA, jana alitoa 'kubwa' ya mwaka baada ya kupiga magoti na kuwaamkia wananchi wa kata ya Makuburi jijini Dar ili wampe kura zao bila kujali umri wa rika mbalimbali katika mkusanyiko huo! Kumbe wakati huu wa uchaguzi wananchi wanathamani eeeh, sasa ngoja uchaguzi uishe na wakishachukua uongozi huwaoni tenaaa...

No comments:

Website counter