Friday, July 16, 2010

HEE HUYU ' TICHA' VIPI JAMA...


Jamani huyu 'Ticha' wa Gym vipi... ndio kufundisha gani uko? Hawa ndio wanaotufanya tusiwaruhusu wake zetu kwenda GYM kufanya mazoezi kwa izi tabia zao za 'kimombasa'loooh...

2 comments:

Anonymous said...

Duuh Kali hii

Irene said...

Huyu ni wa kuchapwa tu...hakuna kingine ili asirudie.

Website counter