Kiungo mshambuliaji wa zamani wa SIMBA ya 'Daslam' HARUNA MOSHI 'BOBAN' amenukuliwa akisema kwamba kilichomkimbiza katika timu GELFE IK ya nchini Sweden ni maslahi madogo aliyokuwa akiyapata uko kutokana na kukatwa kodi kubwa kuliko alipokuwa apa nchini akichezea SIMBA! Na ameziambia timu hizo kongwe nchini yaani YANGA na SIMBA kwamba timu itakayokuwa na dau kubwa zaidi basi ndii atakayomwaga nayo wino kuichezea msimu ujao bila kujali chochote duuh, wadau mpo apooo...
2 comments:
huyo bwege tu simba watalipa pesa ngapi ama antaka kuja kutulingishia raba ?
AKILI ZA KIBANGI BANGI TU,HAMNA LOLOTE HAPO
Post a Comment