BREAKING NEWS....
Imefahamika rasmi kwamba waziri kiongozi wa zamani wa Zenj Dk GHALIB BILAL amechaguliwa rasmi leo hii katika mkutano mkuu wa CCM uliomalizika leo mjini DODOMA kuwa mgombea mwenza wa Rais JAKAYA KIKWETE kwenye uchaguzi mkuu ujao! Haya sasa kumekucha jamani...
1 comment:
NAKUHAKIKISHIA BEN HALIKUWA CHAGUO LA KWANZA LA JK,ILA NDO SIASA KUNA MAMBO WAZEE WAMEAMUA KUYAFUNIKA HUKO ZENJI KWA KUMCHAGUA HUYU JAMAA.
Post a Comment