Monday, October 3, 2011


Ndani ya hiyo Shooping Center kuna kila aina ya Migahawa yenye majina makubwa Duniani, yaani kwa hakika kwenye Mashindano ya Olympic ya mwakani apa LONDON mambo yatanoga saanaaa...

MWAMVITA na Mamaa SUE nilikuwa nao sambamba nilipoingia kwenye Mgahawa wa NANDOZ...

Mambo ya 'NANDOZ' sio mchezo banaa, nayo ipo humo humo ndani ya MALL...

Mie izi 'SPICE' za Nandoz huwa nazipendaga sanaaa...

Maduka ya kila aina na hakuna kitu ambacho utakitaka utakikosa...

4 comments:

rose said...

mmmh ben umeamua kututamanisha wenzio eeeh sisi huku bongo yaan twatamani kuja huko japo kutembea na kutoa mchanga kidogo wa bongo poa mie nikipata leave nitakuja huko haaaa

Anonymous said...

FINALLY UMEAMUA KUMTOA MKEO SUSIE (MAMAA SUE) KTK BLOG YAKO.. UMEBANAAA KISHA UMEACHIA MWENYEWE.. !! HABARI ZAKO TUNAZOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO..!! SEMA SUU UONE

Anonymous said...

wee kaka maneno yako tu mie huwa yananichekesha sana!. Hiyo shopping mall nitakwenda kuitembelea soon.

Anonymous said...

sasa wewe anonymous unamaana gani kaamua kumtoa mkewe kama ndio wewe hupendi inakuuma nini?ulitaka akutoe wewe?watu wengine bwana.mnapenda saana kupangia watu maisha yao au kuwafuatilia wewe hupendi ben awe na mke au ulitaka akuoe wewe pumbavu kabisa mijitu mingine inaboa saana inaroho zakwanini ndiomana mnabaki kufuatilia maisha ya watu.mnakeraa

Website counter