Tuesday, October 4, 2011

JANA NILIPOTEMBELEA 'SHOOPING CENTRE' KUBWA KULIKO 'ZOOOTE' DUNIANI APA LONDON...


Jana nilitembelea SHOOPING CENTRE kuubwa kuliko zooote Duniani ambayo ni mpyaaa kabsaaa kujengwa maeneo ya Stratfold apa London Uwingereza na inasemekana ina maduka zaidi ya elfu 30,600 daaah...

Mall hii ya Hatari imezungukwa na kila aina ya usafiri wa kuwezesha watu kufika kupata mahitaji, yaani kwa ujumla Miundombinu imetimia......

Kumbuka hii ndio SHOOPING CENTRE kubwa kuliko zoooote Duniani kwasasa, kwaiyo mpaka watalii kutoka nchi mbalimbali huja kutembelea kujionea ilivyojengwa na inasemekana Waingereza wametumia miaka 4 kukamilisha ujenzi wake duuuh...

Kuna njia nyingi za kuingilia na hii ni mojawapo kutegemea unatokea upande gani hasa...

Miundombinu kama kawa imetimia kwenye Mall hiyo na hapa mpaka 'Underground Train' pia ipo kama kawa kudaadeki...

2 comments:

Anonymous said...

Ni hapa, sio apa, kwa hiyo si kwaiyo,Uingereza sio uwingereza. Una ideas nzuri ila tatizo lako la uandishi mbovu linadisturb.

Anonymous said...

Wow wamejitahidi wenzetu na wamebuni kitega uchumi kingine kitakachowaongezea pato. ila naomba nikurekebishe kidogo ni shopping centre sio shooping centre usijali hakuna mkamilifu kukosea kupo.

Website counter