Sunday, October 30, 2011


Mwigizaji mkongwe wa Filamu nchini Bi. JOAHARI nae alikuwepo bega kwa bega kumpa TAFU bi Harusi HAZRA aka SKINER...

Mwigizaji IRENE UWOYA yeye alikuwepo kuongoza msafara wa kumtoa ndani Bi. harusi...

Nilipata Fursa ya kupiga picha na Mashabiki wangu wengi walionisalimia...

Mshikemshike wakati wa Maharusi kutoka nje kuelekea HONEYMOON...

Yaani BIRIANI ya siku hiyo ilikuwa BALAA kwa utamu wake daaah...

2 comments:

sophy said...

wanazidi kujipodoa mpaka wanatisha wao ni wazuri tu hata wasipo jipodoa hivyo.

Anonymous said...

wewe kinyainya ni handsome ila kitu kimoja tu kinataka kukuharibu , unanenepa sana, unapoteza uhandsome wako, unapenda sana kula kula , mwanaume hasifiwi kula , anasifiwa kupanda , jirekebishe....

Website counter