Friday, October 14, 2011

SAFARI YANGU YA KURUDI 'BONGO' ILIVYOKUWA JUZI JUMANNE...


Juzi Jumanne usiku nilisafiri tena kurudi BONGO nikitokea London UK. kwa ujumla safari yangu ilikuwa poa sanaa na nilifika Dar kesho yake mchana bila kokoro yoyote...

Heathrow Airport London naelekea kwenye Gate langu...

Na hapa sasa ni wakati nikiwa nje ya Nyumbani kwangu pale London nikijitayarisha kuelekea Airport...

Nikiwa na mdogo wangu AYSHA ndani ya Heathrow Airport London...

3 comments:

Anonymous said...

tuambie nyumba unayoishi sio nyumba yako eeeboooh!

Anonymous said...

haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jaman hata anayoishi si yake coz analipia kwani anaishi bure wabongo jamani mhhhhhhhhhh

Anonymous said...

Ben just a piece of advice.blog yako ni nzuri sana ila story zako ni ndefusana zinatia uvivu.pengine kwa kuwa sio mwandishi ila unaweza kujifunza kuandika story ikawa short and clear.

Website counter