Friday, September 16, 2011

HUU NDIO MOTO WA TWANGA PEPETA JANA ALHAMIC USIKU PALE MAISHA CLUB OYSTERBAY JIJINI DAR...


Bendi ya TWANGA PEPETA kama kawa jana ilizingua watu ndani ya ukubwa wa MAISHA CLUB jijini Dar kwa burudani nziti kama kawaida yao! Picha Rapa MSAFIRI DIOUF akimwaga Ghani kali stejini, kushoto ni SEMSEKWA...

Mnenguaji MARIA SOLOMA akinengua vikali na mwimbaji Nguli wa Bendi hiyo SALEH KUPAZA...

Mnenguaji mkongwe LILY INTERNET akiwaongoza 'Wadogo' zake kumwaga 'UNO' la kufa 'Ngamia' stejini...

Kiongozi wa Bendi ya TWANGA PEPETA, mwanamke wa Chuma LUIZA NYONI MBUTU akiwaongoza wanenguaji wake kwenye 'SHOWBIZ' ya Hatwariii...

Rapa mpya wa Twanga aitwae J4 ni 'matata' sana na anakuja juu sana sasaivi endapo hatalewa sifa...

1 comment:

Anonymous said...

yani internet mpaka leo bado anacheza!awaachie watoto sasa,hata kina zina bilao,miley kunde wa koffi ambao ndio age yake internet hawapo tena stejini wamewaachia hawa kina CINDY,hata Nana sukali yule mcheza show pekee wa kike wa wenge enzi zile hachezi tena,wengi baadae wanakua waalimu wa hizo mabendi,kama monica seles wa bcbg siku hizi yeye ndio anawafundisha wale watoto kina mwana nsuka na wengine na pia ndio anawafanyia interview wapya wanaotaka kujiunga

Website counter