Saturday, September 17, 2011

NAWATAKIA WEEKEND NJEMA WAPENZI WA KINYAIYA'S BLOGU...


Jamani nawatakieni Weekend njema na kwa wale wanaoniandikia 'Comments' zao kwamba wanajaribu kunipigia kwa namba yangu ya apa UK alafu hawanipati ni WAONGO! Sasa namba ni hiyo hapo kulia kwenye Profile Picha ya Blogu, jaribu uone...

3 comments:

Anonymous said...

usiite watu WAONGO! watake radhi

Anonymous said...

ntake radhi Ben na uniadd bb pin yangu maana u didnt do so mpaka umeondoka, umeniudhiiiiiii..dadako Northampton..think ushangundua, jina Kapuni

Anonymous said...

BEN, NANI KAKUCHORA HIZO TATOO? NI BONGO HAPA HAPA AU? NA ULIFIKIRIA NINI HADI UKAAMUA KUCHORA HIYO SURA YAKO HAPO? NANI ALIKUPA HILO WAZO? AU ULIONA WATU WAMECHORA NAWEW UKAPENDA??.. TATOO NI ZA UKWELI, NIJULISHE NA MIMI NIENDE KUCHORA..

Website counter