Tuesday, August 30, 2011

ZIARA YA 'BONGO MOVIE' MJINI MOSHI ILIVYOFANA...

Hiki ndicho kikosi kamili cha Timu ya BONGO MOVIE kilichofanya ziara hivi karibuni mjini Mosho kwa mwaliko wa Kampuni ya Bia nchi TBL kupitia Bia yake ya Kilimanjaro Lager, na hapa ni First 11 ikiwa imejipanga tayari kwa ukaguzi ili waanze kukiputa na timu ya wafanyakazi wa TBL, kuanzia kushoto ni RAY, STEVE NYERERE, MASANJA MKANDAMIZAJI, JB, SHIJA, CHIKI, KANUMBA na CLOUD, daah yaani nilikosekana mimi tu apo...
Mtu mzima CLOUD alichemsha mapemaaa na kumpisha 'Mtaalamu' KANUMBA haaa ahaaa...
Hapa ni mapumziko na watu wako TAABANI huku mawaidha ya Kocha mchezaji Richie richie yakisikilizwa kwa makini...

Daah JB aliichachafya saanaaa Defence ya timu ya TBL, huwezi amini...

No comments:

Website counter