Wednesday, August 3, 2011

MAKAMUZI YA FM ACADEMIA MJINI SONGEA JUZI...

Juzi kampuni ya simu ya AIRTEL iliwaalika wazee wa "NGWASUMA" FM ACADEMIA aka "Wazee wa mujini propa" aka "Wazee wa pamba" kwenye Onyesho kubwa lililofanyika mjini Songea na kuvuta Umati mkubwa wa watu mjini humo, na pichani Rais wa Bendi hiyo NYOSHI EL SAADAT akiwaongoza wenzake kina MULEMULE, BLAISE KING na PABLO MASAI kulivurumisha jukwaa kwa style matata stejini...
Alwayz wanenguaji wa NGWASUMA ni Hatari zaidi stejini kuliko bendi zingine, au kwakua ni Bendi ya kikongo zaidi? maana wanacheza kwa nguvu kama vile kesho "WANAKUFA" looh...PABLO MASAI akiliimbisha jukwaa juzi mjini Songea! kwangu mimi ndie mwanamuziki anaejua kucheza kuliko wooote kwenye Bendi hiyo, kama kuna mtu anabisha ajitokeze...


No comments:

Website counter