Wednesday, August 24, 2011

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Katikati ya Picha hii ni katibu mkuu wa Shirikisho la mpira wa Miguu nchini TFF Bw. ANGETILE OSIAH akifurahia jambo na Rais wa TFF Bw. LEODGAR TENGA 'kushoto pichani siku ya Mechi ya Watani SIMBA na YANGA za jijini ambapo Yanga 'ALIPAKATWA' kwa bao 2 kwa YAI...

Huyu ni rafiki yangu mkubwa aitwae EDDY ambaye kwasasa anaishi mjini OSLO nchini Norway, akiwa na Mkewe ASHA wakti wakiwa mapumzikoni Home jijini huku walipata moja motozzzz...

Kushoto ni SHARLEEN na shoga yake wakiwa ndani ya KINYAIYA'S PUB Kinondoni nyuma ya Mango Garden jijini Dar weekend iliyopita walipokwenda kupata 'MASANGA'...

Hawa ni wanamuziki wa Twanga Pepeta, kushoto ni mnenguaji MANDELA SURAMBAYA na kulia ni mwimbaji CHARZ BABA, na nyuma yao kulia ni kiungo mahiti wa Timu ya Yanga RASHID GUMBO, walipokutwa kwenye mazishi ya rafiki yao mmoja kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar...

No comments:

Website counter