Wednesday, July 20, 2011


Vimwana na 'Mashosti' kibao walihudhuria mnuso huo wa Kufa 'Ngamia' uliofanyaka ndani ya ukumbi wa VIP ulio 'full Kipupwe' pale KINYAIYA'S PUB Kinondoni wiki iliyopita...

Wagumu na Masharobaro nao pia hawakukosekana kwenye Mnuso huo mtakatifu wa Kuzaliwa kwa mtaalamu wa muziki wa kufokafoka DOGO HAMIDU...

Haa ahaaa weeee ilikuwa balaa nakwambia, kila mtu alikuwa 'juuu'...

DOGO HAMIDU pichani kushoto akifurahia 'Suprise' ya Keki aliyoandaliwa na rafiki zake kwenye siku yake ya kuzaliwa na kuletwa ukumbini bila yeye kujua chochote...

No comments:

Website counter