Wednesday, July 20, 2011

'SUPRISE' YA BIRTHDAY YA DOGO HAMIDU JUZI...


Ilikuwa ni Furaha ya aina yake Juzi pale vijana wa OBB wenye maskani yako maeneo ya Kinondoni jijini Dar walipomfanyia Suprise ya nguvu kwenye siku yake ya kuzaliwa mwanamuziki wa Bongo flava ambaye hapo zamani alipokuwa mdogo alijulikana kwa jina la 'DOGO HAMIDU' tena wakati ule akiwa na nguli Dudu Baya, unalikumbuka jina hilo? Basi mpango mzima ulifanyika ndani ya ukumbi wa VIP full kiyoyozi pale KINYAIYA'S PUB iliyoko nyuma ya Mango Garden Kinondoni...

Basi ile DOGO HAMIDU kuingia tu alianza kuchakazwa kwa kumwagiwa 'Ma wine' na rafiki zake huku yeye akishangaa maana ukumbi ulizimwa Taa ili kumzugu asigundue chochote kinachoendelea ndani, ilikuwa raha saanaaaa....

Aaaah nikulishe BBY...

No comments:

Website counter