Tuesday, July 19, 2011

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Kuanzia kushoto ni mimi, JAFFARAY na OMMY DIMPOZ wa Top Band...

Nikiwa na rafiki yangu ambaye ni beki wa kushoto wa Wekundu wa Msimbazi SIMBA ya jijini AMIR MAFTAH, tulipokutana juzi kati...

Katibu Mkuu wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini ANGETILE OSIAH akiangua kicheko cha haja na Rais wa 'TFF' LEODGAR TENGA mara baada ya mechi ya Fainali ya CECAFA juzi kati, Pesa tamu bwanaa au hukuchec 'NYOMI' la sikuhiyo...

Nikiwa na swahiba wangu ambaye ni Beki wa zamani wa Simba na Taifa Starz BONIFACE PAWASA, tulikutana juzikati...

No comments:

Website counter