Thursday, July 28, 2011

TWANGA WALIVYOFANYA "KUFURU" JANA USIKU...

Mwimbaji DOGO RAMA akiongoza kikosi cha unenguaji kulishambulia jukwaaa jana Jumatano usiku...
Kama kawa Rapa mahiri wa Twanga ambaye pia ndie mtunzi wa ile Rap inayotamba sasa apa mjini iitwayo "Kamata mwizi meeen" MSAFIRI DIOF akicheza uku akiwa kashapiaga yale Mambo yetu yaleeee...
Mnenguaji mkongwe LILY INTERNET akionesha vitu vya ziada huku akichagizwa na mpiga Drum JAMES KIBOSHO...
Weweee mambo iko uku...

No comments:

Website counter