Thursday, July 28, 2011

Hapa ni wanenguaji GRACE na mkongwe LILIY INTERNET wakionesha Manjonjozzz...
Huyu Dogo
Anaitwa JAMES KIBOSHO ambaye ndie mpiga DRUM namba wa Twanga, huyu ndio kaishikilia Twanga pale nyuma asikwambie mtu ila tatizo lake yuko pekeyake, sasa siku akiumwa huyu sijui kama Dansi liotanoga kwakweli looh...
Shughuli ni watu, na watu wenyewe ndio sie atiiii ivyo lazma tuwemo....
CHALZ BABA "KINGUNGE" akighani kwa hisia huku akiwachezesha wanenguaji wake...

No comments:

Website counter