Saturday, July 30, 2011

Hayaa tena jamani ndio nimetua HEATHROW AIRPORT London na nipo kwenye mstari tayari kwa Ukaguzi wa Passport na Visa...
Haya tenaa Ukaguzi kwishney sasa napanda zangu ngazi ili huyooo nitokomee zangu home kwangu maeneo ya STOCKWELL London...
Na hapa nakamata "TRAIN" tayari kwa kuingia kitaani kwangu daaah...
Asante Mungu nimeshaingia mtaa wangu wa kujidai tayari kwa kwenda kupumzika ila makamuzi ya Blogu yanaendelea kama kawa maana kuna Mwanajeshi wangu ana silaha zoote za kivita na atakuwa ananiletea matukio yooote ya mjini kama kawa...

2 comments:

Anonymous said...

Haya wale wanfiki oo Ben hawezi rudi tena Uk sijui nini nyoooo mmeumbuka na mauongo yenu. kweli kikulacho.. safi sana Ben

Anonymous said...

mbona hautuoneshi ndani kwako hahahahaha

Website counter