Saturday, July 30, 2011

Mawinguzzzzz, hapa nahisitulikuwa tunavuka mji mmoja uitwao NICE nchini Ufaransa, ni balaaa....
Hya sasa hii ndio Airport ya HEATHROW mjini London inavyoonekana kwa nje...

Na huu ndio nji wa London unavyoonekana kwa juu, ila ingekuwa kwetu Bongo ungeona Mabati matupu tena yenye "KUTU" daaa...

No comments:

Website counter