Thursday, July 28, 2011

Ilikuwa ni mshikemshike jana, unawajua Twanga au unawasikia? Hapa wanenguaji wa Bendi hiyo MARY na VICK wakijishebedua stejini...
Huyu anaitwa JOJOO JUMANNE, kwangu mimi ndie mpiga "Gitare" za BASS bora kwa sasa nchini na kama unabisha we nenda kaskie anavyounguruma kwenye maonyesho ya Twanga...
Kamata mwizi meeeen...
Anaitwa KHADIJA MNOGA aka "KIMOBITEL", si unamkumbuka?

2 comments:

Anonymous said...

BIG UP BEN TUPE VITU HASA ZA HAO WAZEE WA KUSUGUA KWANI MJINI HAPO TWANGA NDIO LENYEWE HAO WENGINE WAPITA NJIA TU, TUNAWAPA TUMIEZI FULANI HALAFU WANAPOTEA AU TUNAWAPOTEZA KABISA....
HONGEA NA DAR ASHA ATURUDISHIE WENETU FERGIE NA KHALID BASI, KWANI NJAA TU ZINAWASUMBUA NINA HAKIKA WANAJUTA HUKO WALIPO, NIPO MBALI LAKINI NIKIINGIA TOWN NITAKUTAFUTA KAKA HALAFU FERGIE MWANANGU MWENYEWE KAMA HAJARUDI MPAKA MUDA HUO BASI TUTAENDA JUU CHINI KUMRUDISHA HOME...
KWA UFUPI KAKA WEWE RUSHA VITU VYA TWANGA KWA SANA NA HAO WENGINE KIDOGO TU ILI TUSIPITWE SAAANA..
KWA MARA INGINE NAKUPA TANO MKUU.HIYO STAILI MPYA YA KAMATA MWIZI TURUSHIE BASI VIDEO CRIP NASI TUJIMWAE KAKA....MSAFIRI NAMBARI ONE IN BONGO SEMA TU YALE MAMBO YAKE ALIYOYAINGIA NI NOMA....

Geral Lucas said...

umenigusa sana katika ishu ya Mayunga ntaifanyia kazi Jombaa...

Website counter