Monday, June 27, 2011

NAWATAKA RADHI WAJAMENI...

Jamani nawataka Radhi wadau wa Blogu hii ya KINYAIYAS kwa kukaa kimya kwa karibu wiki 2 bila kuweka chochote hapa Bloguni, ni kwasababu Laptop yangu iliharibika so ikanibidi kununua nyingine na kwasasa mambo yako Fresh na kuanzia kesho JUMANNE ntaanza kuteremsha Vituzzz kama kawa hapa Bloguni. BEN KINYAIYA.

2 comments:

judy said...

pole sana kakangu naomba lisitokee tena hili maana unaniabisha dadako niko HP na IBM si ungepiga tu simu nikafanya kukukimbizia ungenilipa sikunyingine ningekuachia Invoice tu jamani!!! vibaya hivyo tena aibu haswa kakangu

Anonymous said...

duuu kaka hiyo jumanne ya lini tena maana tumesubiri sana na jumanne ziko kibao si unajua tena rudi hewani kaka....

Website counter