Friday, June 3, 2011

KWA TAARIFA YAKO SASA NAKWAMBIA...


Kwa taarifa yako ni kwamba 'MCHAWI' wa soka kwasasa Duniani LIONEL MESSI ndie mchezaji aliyeongoza kwa kutoa 'PASI' nyingi za mabao katika Ligi za Hispania! Mpaka Ligi inakwisha MESSI alitoa 'PASI' 19 za mabao, alipiga 'MASHUTI' 149 na kufunga mabao 31.

Mshkaji amemuoa Demu wake wa tangu utotoni MACARENA LEMOS kutoa kijijini kwao ROSALIO nchini ARGENTINA ambako walikuwa wakiishi majirani na anaishi nae mjini Barcelona nchini HISPANIA.

No comments:

Website counter