Wednesday, June 1, 2011

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Sometime inabidi 'WASHKAJI' mpumzike na kuchat mambo mbalimbali ya kimaisha na sio kukutana 'MADISCO' 2 bana aaagh! Pichani ni wacheza Filamu maarufu Bongo, RAY, JAQ PENTEZEL, SHIJA na ODAMA wakibadilishana mawazo juzikati...

Mimi na WEMA SEPETU tukipozzzz na kuongea 'MACHACHE'...

Nikiwa na mama wa 'Mipasho' ESHA MASHAUZI wa kundi la JAHAZI TAARAB...

Mmmmh...No comments:

Website counter